SEND TO PRESIDENT

Friday, 17 October 2014

UCHUNGUZI MKALI-KAGAME

mimi namshauri raisi wa rwanda kufanya uchunguzi mkali juu ya watu 40 waliopatikana wafu, naitwa pili

Thursday, 16 October 2014

AFRICA UNITE

my advise to our presidents especially of Africa is for them to unite to make afrika stronger,and let africa have a power and say on other out Africa countries,like the way our late great leaders fought for,we have power to lead the world
name:nyakashinja fromeast africa

EAST AFRIKA

MIMI NAWASHAURI MARAISI WA EAST AFRICA KATIKA SUALA ZIMALA KUTUMIA SARAFU MOJA KWA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI ITAKUWA BONGE LA ISSUE.NAITWA MICHAEL PETER, EAST AFRIKA

HONGERA RAISI WA TANZANIA

mimi athumani kutoka dodoma nampa hongera raisi wa kikwete tanzania kwa kuanzisha mchakato wa katiba mpya,walau tutafikia tanzania tuitakayo mungu akipenda